Ngoja nikusimulie maajabu ya huyu Yesu mwana wa Maria, mwana wa seremala
Alikuja duniaji ili atukomboe sisi, akatwaa mwili akazaliwa na Maria.
Huyu Yesu wa miujiza tena Bwana wa miujizax2
hakuwa na wa kumfananisha naye maefanya mambo makuu, hakuna x 2
Kwenye harusi ya Kana, alionesha maajabu; kageuza maji ya-ka-wa divai
Walemavu wakapona, akafufua hata wafu, ni kwa neno tuu, mapepo yakafukuzwa.
Kwa mikate saba tuu, na-visamaki vichache, akalisha watu, ma-elfu kwa maelfu.
Ni ajabu kwa hakika, mkate akaugeuza, kasema ni mwili, divai kawa damu yake.
Wa-kati akisali, sura yake ikageuka, namavazi yake yakawa kama theluji
Leo atuita sote, ageuze maisha yetu, hima waamini, njoni tupate miujiza.