Nirudieni
kwa moyo wote asema Bwana Mungu mwenyezi, msirarue mavazi yenu kwa huzuni,
asema Bwana nirudieni wa kufunga kuomboleza na kwa kulia (bali nasema nirudieni
kwa moyo wenye toba) x2
Mungu wetu mwenyezi, ni Mungu mwenye
huruma, anasamehe dhambi tukimrudia yeye,
(
Tuwe
na moyo wenye huruma kwa watu wenye shida
)
x2
2.
    Â
Walishe wenye njaa wanyweshe wenye kiu,
na Mungu wa huruma atakubarikia
(tuwe na moyo wenye huruma kwa watu wenye
shida)
x2
3.
    Â
Wazike wale wafu,
tembelea wagonjwa na Mungu wa huruma atakubarikia   Â
(tuwe
na moyo wenye huruma kwa watu wenye shida) x2
4.
    Â
Wavishe walo uchi,
tembelea wagonjwa, na Mungu wa huruma atakubarikia,
(Tuwe na moyo wenye huruma kwa
watu wenye shida) x 2