1- Nina njaa nilishe bwana... nina kiu ninyweshe bwana. Bwana naja kwako unipokee bwana naja kwako niimarishe. nina njaa nilishe bwana . . . Nina kiu ninyweshe bwana bwana Bwana mimi ni wako.
2- Mkaate saafi nilishe bwana divai saafi ninyweshe bwana bwana naja kwako unipokee bwana naja kwako niimarishe. Nina njaa nilishe bwana niinaaa kiiu ninyweshe Bwana Bwana Bwana mimi ni wako
3- Nipate uzima nilishe bwana. wamilele ninyweshe Bwana, Bwana naja kwako unipokee, Bwana naja kwako niimarishe. Niina njaa nilishe bwana niina kiiu ninyweshe Bwana, Bwana Bwana mimi ni wako.
4- Ndiiwe uzirrma nilishe bwana wamilele ninyweshe bwana bwana naja kwako unipokee bwana naja kwako niimarishe, niina njaa nilishe bwana niina kiu ninyweshe Bwana. Bwana Bwana mimi ni wako.