Onjeni muone ya kuwa Bwana
yu mwema (x2)Nitamuhimidi Bwana kila wakati sifa zake zi kinywani mwangu daima
x2
Â
1.
   Â
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu wanyenyekevu wasikie
wakafurahi.
Mcheni Bwana enyi watakatifu wake, Yaani wamchao hawahitaji
kitu.
Â
2.
   Â
Wanasimba hutindikiwa huona njaa bali wa Bwana hawahitaji
chema.
Njooni enyi wana mnisikilize nami nitawafundisha kumcha
Bwana.
Â
3.
   Â
Ni nani yule apendezwaye na uzima apendaye siku nyingi kuona
mema.
Huuzuia ulimi wako na mabaya na midomo yako kusema hila.
Â
4.
   Â
Uache mabaya ukatende mema, utafute amani ukaifuatie,
Nalimtafuta
Bwana na akanijibu, na akaniponya na hofu zangu zote.