Wapenzi tung'ang'anie imani yetu tushikilie imani yetu tusiachie imani yetu tushikilie Imani yetu haya haya
(Imani ya babu zetu imani yetu ya Baba zetu) x 2
Tujifunze kwa babu Abrahamu Abrahamu aliyeahidiwa mtoto uzeeni, akaamini Abrahamu akapata, akaamini babu yule na akapata.
Abrahamu kaahidiwa uzao uzao tele kama mchanga baharini na nyota mbinguni, akaamini Abrahamu akapata, tena taifa teule Israeli.
Abrahamu kaambiwa amchinje kwa mkono wake mwanawe wa pekee Isaka bila kosa, kanyenyekea Abrahamu katukuzwa, hata leo babu yule ametukuka
Hitimisho
Oho Hima hima wapenzi tuing'ang'anie imani urithi namba moja tuing'ang'anie imani daraja tegemeo tuing'ang'anie imani la kwenda uwinguni tuing'ang'anie imani hima hima wapenzi tuing'ang'anie imani.