Karibuni mezani Bwana awaalika – Enyi wateule wake wote (kwenye karamu) takatifu Bwana ameiandaa, karamu ya kutupatanisha naye Â
Hivyo basi yatupasa – leo tushiriki hii karamuye
Hivyo basi yatupasa (ndugu) – tushiriki karamuye
Tule mwili tunywe damuye (atualika) Kristu (aliye) Bwana (Mfalme) wetu
Tushiriki heri ya mbingu (atualika) Kristu (aliye) Bwana (Mfalme) wetu
1.Kwa wema wako ee Yesu – kweli watuandalia
  Karamu hii takatifu – kweli watuandalia
2.Ndiwe chakula cha mbingu - twajiunga nawe Yesu
  Ndiwe kinywaji cha mbingu - twajiunga nawe Yesu
3.Posho yao wasafiri – uzima utupe Bwana
  Utuongoze mbinguni – uzima utupe Bwana