Huo ndio ulimwengu nilioutamani ulimwengu wa furaha, ulimwengu wa amani ulimwengu wa upendo ulimwengu wa heshima, ulimwengu mtulivu, ulimwengu usio maradhi, unyang'anyi, uporaji x 2
Tunaona nini leo sisi,  chuki na fitina vimetawala kwa hawa watu wa ulimwengu.
Â
Tunaona nini leo sisi, vita na magonjwa vimetawala kwa hawa watu wa ulimwengu.
Â
Tunaona nini leo sisi, ajali na vifo vimekithiri kwa hawa watu wa ulimwengu.
Â
Tunaona nini leo sisi, wizi unyang'anyi vimekithiri kwa hawa watu wa ulimwengu.
Â
Tunaona nini leo sisi, ulevi anasa vimetawala kwa hawa watu wa ulimwengu.
Â
Tunaona nini leo sisi, wajane yatima waongezeka kwa hawa watu wa ulimwengu.
Â
Tunaona nini leo sisi, rushwa ufisadi vimekithiri kwa hawa watu wa ulimwengu.