KIITIKIO:
Siku ile niliyokuita uliniitikia,Â
Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.×2
MAIMBILIZI: (Zab. 137: 1-3, 6-9.)
1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote,
 Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
 Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu.
2. Nitalishukuru jina lako, K
wa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako,Â
Kwa maana umekuza ahadi yako,Â
Kuliko jina lakolote. Sikuileniliyokuitauliniitikia
,Â
Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
3. Ingawa Bwana yuko juu, amwona mnyenyekevu,Â
Naye amjua mwenye kujivuna tokeambali. Nijapokwenda
 kati ya shida utanihuisha,Â
Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu.
4. Na mkono wako wa kuume utaniokoa. Bwana
 atanitimoliza mambo yangu;
 Ee Bwana, fadhili zako ni za milele;Â
Usiziache kazi za mikono yako.