EE BABA TWALETA VIPAJI Â Â Â Â Â Â Â [Br. S. Mkombo]
Ee Baba twaleta vipaji vyetu vya mkate na divai altareni pako x2
Uvibariki ee Baba, uvitakase ee Baba, na sisi utubariki. x2
1 (a) Â Ni mazao ya nchi yetu na neema zako Baba, twaomba uvipokee.
   (b)  Vigeuze kuwa, Baba, kwa ajili yetu sisi, Mwili na Damu ya Yesu.
2 (a)Â Â Â Nazo nafsi zetu, Baba, twazileta kwako, Baba, twaomba utubariki.
   (b)      Na maombi yetu, Baba, twayaleta kwako, Baba, twaomba uyasikie.
3 (a)Â Â Â Nazo fedha zetu, Baba, twazileta kwako, Baba, twaomba uzipokee.
   (b)      Nazo mali zetu, Baba, twazileta kwako, Baba, twaomba uzipokee.