Inuka ewe mkristo jongea ukatoe sadaka yako,ukamshukuru
Muumba wako kwa mengi aliyo kujalia, Ee Mungu nakutolea sehemu ya pato
uliloni jalia, Fedha za mifuko ni mazao ya shamba Bwana nimekutolea,
(nimekuja na sadaka yangu Bwana nakuomba uipokee)x2
Maimbilizi
1.Leteni
zaka kamili ghalani ili kiwemo chakula nyumbani,mkanijaribu kwa njia
hiyo asema Bwana wamajeshi (mjue) kama sitawafungulia madirisha ya
mbinguni (namimi) nitawamwagieni baraka kutoka mbinguni
2.Leteni
sadaka mje mbele zake mwabuduni Bwana, mpeni Bwana utukufu na nguvu
mtukuzeni Mungu, (ee nduguI)Â tukampe Bwana zawadi tutoe na nia zetu,
Kwa unyenyekevu mkubwa (twaomba) upokee Baba
3.Tunaleta mkate zao
la ngano ulizotujalia,divai tunda la mzabibu ee Baba upokee (ee Bwana)
twaleta na mifugo na fedha uzipokee,nimapato ya wanawako(twaomba)
uyabariki Baba