1.Nakuakuabudu Mungu wangu ujifichaye altareni,ninakutolea moyo wangu usiofahamu siri yako (Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu milele, milele mileleĀ u mtakatifu, utukuzwe milele yote katika Hostia Takatifu
2.Mafahamu yangu yadanganya yakwunapoĀ pia kugusa, nami ninakupa moyo wanguĀ usiofahamu siri yako (Mtakatifu..........)
3.Wauficha u-Mungu wako msalabani na ubinadamu wako altareni, nami naungama yote mbili kamaĀ mwivi yuleĀ mwenye toba (Mtakatifu.....)
4.Thomaso aligusa majeraha nami nasadiki bila shaka,Ee Yesu nipe pendo lako nikwamini wewe kwa imani. (Mtakatifu......)
5.Umeteswa nini bwana mwema kwa kunipa mkate wa uzima, Yesu unifiche ndani yako ili nionje pendo lako(Mtakatifu.....)
6.Yesu pelicane utazame na kwa damu yako nitakase, tone moja ndilo lanitosha na dunia yote yaokoka (Mtakatifu....)
7.Ndani ya mafumbo Yesu yumo utafunguliwa kwanguĀ lini,nikuone Yesu uso wako nishiriki nawe heri yako (Mtakatifu.....)