(Ninakushukuru Baba yangu
nasema asante, umenitendea mengi makuu Baba asante) x2(Asante Baba asante, asante
nashukuru kwa pendo la ajabu pokea sifa hizi)x2Â Â Â Â Â Â
Â
1.
   Â
Umenilisha mwili wako
chakula chenye uzima, umeninywesha damu yako kinywaji chenye uzima
(Jinsi
gani nikushukuru sina cha kukulipa wewe lilobaki nikushukuru Asante ninashukuru)
Â
2.
   Â
Umenilinda mchana kutwa na usiku, wiki nzima, mwezi mzima
hata mwaka (
jinsi
………………………………………
Â
3.
   Â
Mema mengi wanijalia bila mimi kutarajia ingawa mimi ni
mdhambi umenipenda bila mwisho (
jinsi
………………………………………
Â
4.
   Â
Mvua nyingi zinanyesha, mimea nayo yasitawiMavuno mengi
mashambani, chakula kingi manyumbani (msimu wa joto na baridi zapendeza, hizi
zote ni Barakazako kwetu sisi) x2(
Jinsi
………………………………………